4 thoughts on “Research”

  1. Mi wazazi wangu hawajiwezi. Na nilifanikisha kujisajili hapo chuoni kwa sh. 80000 Lakn nikashndwa kuendelea na masomo kwa sababu ya hali ya chini ya uchumi kwa wazazi wakashndwa kunisapoti. Ila mi napenda shule naomba msaada.. Huwa nalia tu nikiwa nawasiliana na marafki wananiambia. Ndo wana maliza certificate. Duuu. Mi nilishndwa kuendelea. Naomba msaada.

Leave a Reply

Your email address will not be published.