Kuongezwa kwa muda wa kuomba chuo kwa ngazi ya astashahada na stashahada 2017/2018

MUDA WA KUOMBA CHUO UMEONGEZWA NA NACTE, KWA WALE WANAFUNZI AMBAO HAWAKUFANIKIWA KUOMBA CHUO KWA WAKATI  MNASHAURIWA KUFIKA CHUONI ILI MUWEZE KUPATA MSAADA NAMNA YA KUOMBA NA KUPATA AVN NUMBER KUANZIA tarehe 18 Septemba, 2017 hadi tarehe 1 Octoba, 2017