Mahafali ya 14 ya Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) yafana, jijini Dar

 

brass-band

 

Kikosi cha brasband cha Magereza kikiongoza Maandamao kuelekea uwanjani kwenye mahafali ya 14 ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) kwa Kampasi ya Dar es salaam na Mtwara

 

mgeni-rasmi

 

 

Mgeni Rasmi Naibu Gavana wa Benki Kuu Dkt. Natu A. Mwamba(katikati) akiongoza maandamano ya mahafali ya 14 ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) kwa Kampasi ya Dar es salaam na Mtwara. Wa kwanza kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania Dk. Joseph Kihanda.

 

   Kwa habari zaidi za matukio ya mahafari bonyeza hapa

au hapa